Wafanyakazi wanawake wa Hill Group (inayojumuisha kiwanda cha kuzalisha maji pendwa ya Hill Water💦, Kiwanda cha vifungashio pamoja na kiwanda cha vyakula vya mifugo, kuku
Walimu wa shule ya Msingi Mtambani iliyopo Mapinga walipata nafasi ya kutembelea kiwanda cha Hill Group na kujionea majbu yanayofanyika hasa katika utengenezaji wa bidhaa.
A visit from charming young boys from Feza boys school. A study tour on learning on industrial activities , professional needed and investment technics .