Wafanyakazi wanawake wa Hill Group (inayojumuisha kiwanda cha kuzalisha maji pendwa ya Hill Water💦, Kiwanda cha vifungashio pamoja na kiwanda cha vyakula vya mifugo, kuku na samaki) waadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa msaada Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani.
