Skip to content

Hill Group News

Walimu wa shule ya Msingi Mtambani iliyopo Mapinga walipata nafasi ya kutembelea kiwanda cha Hill Group na kujionea majbu yanayofanyika hasa katika utengenezaji wa bidhaa.

Walimu wengi walikuwa na shauku ya kujua kwa undani Zaidi jinsi kazi za kiwandanizinavyofanyika na mara zote walikuwa wakiambiwa kwamba kiwanda kinahitaji ustadiwa hali ya juu ili kuweza kutengeneza bidhaa. Pia kitu muhimu ni kujali mud ana ufanisikwasababu kosa moja dogo linaweza kufanya bidhaa ziharibike au kampuni kutofikiakiwango cha uzalishaji. Pia walionyesha kuvutiwa na mazingira mazuri ya eneo la kiwanda na jinsi gani

Walimu hawa walipata chakula cha Pamoja kilichoandaliwa na kampuni baada ya ziarayao fupi. Pia walionyesha kuvutiwa na mazingira mazuri ya eneo la kiwanda.

newsletter subscription

Subscribe our newsletter to get news updates.